NAFASI ZA MASOMO KWA MUHULA WA MACHI/APRILI 2018

Mkuu wa Chuo Cha Arusha East African Training Institute, anawatangazia vijana wote waliomaliza Kidato cha Nne na Sita nafasi za masomo kwa Muhula mpya wa masomo wa Machi/Aprili 2018 na Masomo yataanza rasmi tarehe 03/04/2018.
Masomo yatakayo fundishwa ni; Uandishi wa Habari na Utangazaji wa Redio na Televisheni, Uhusiano wa Kimataifa na pia kuna kozi za muda mfupi ambazo ni Basic Computer Applications, Graphic Design, na Audio&Video Production.
Chuo kina usajili wa kudumu kutoka NACTE, na tunapatikana Philips Barabara kuu ya Arusha- Moshi.
Nyote mnakaribishwa!.
www.eatiarushatz.com

Comments

Popular posts from this blog

PROFILE OF THE ARUSHA EAST AFRICAN TRAINING INSTITUTE

TAEATI