Mmomonyoko wa maadili kwa wanavyuo
Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji The Arusha East African Training Institute wakiwa kwenye semina yenye kichwa cha somo linalosema “ mmomonyoko wa maadili unavyoweza kuathiri taaluma ya mwanachuo au wanachuo” , inayotolewa na Mch wa kimataifa Gift Urio maarufu kwa jina la AK47. Wanafunzi wa chuo wakiwa wanasikiliza semena iliyokuwa ikiendeshwa katika eneo la chuo philips ...