Canada sasa ruhusa matumizi ya bangi hadharani
Canada sasa ruhusa matumizi ya bangi hadharani Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Bangi sasa halali Canada Canada imepitisha sheria rasmi kwa nchi nzima inayoruhusu matumizi ya bangi. Sheria hiyo hatimaye ilishinda kwa kupata kura za ndiyo 52 zinazoruhusu matumizi ya bangi hadharani,huku kura 29 za maseneta zikisema hapana. Kampuni ya bangi yaununua 'mji wa bangi' Marekani Sheria hiyo inasimamia udhibiti,usambazaji na uuzaji wake. Haki miliki ya picha AFP/GETTY Image caption Raia wa Canada wataruhusiwa kununua na kutumia bangi kihalali kuanzia mapema mwezi Septemba Kwa sheria hiyo sasa raia wa Canada wataruhusiwa kununua na kutumia bangi kihalali kuanzia mapema mwezi Septemba mwaka huu. Kumiliki bangi ilikuwa ni kosa kisheria tangu mwaka 1923 lakini matumizi ya bangi kama dawa yaliruhusiwa kisheria tangu mwaka 2001. Wabunge wataka bangi ihalalishwe Uingereza Kampuni zashindania kukuza bangi Denmark Kutokana na kupitishwa kw...