Posts

Showing posts from February 28, 2018

ANZA SIKU MPYA KWA KUSOMA MAGAZETI.

Image
MAGAZETI YA LEO 1/3/2018     Thursday, March 01, 2018  

MULIKA-GAZETI LA WANAFUNZI(TAEATI) TOLEO LA JANUARI 31,2018

Image

NAFASI ZA MASOMO KWA MUHULA WA MACHI/APRILI 2018

Image
Mkuu wa Chuo Cha Arusha East African Training Institute, anawatangazia vijana wote waliomaliza Kidato cha Nne na Sita nafasi za masomo kwa Muhula mpya wa masomo wa Machi/Aprili 2018 na Masomo yataanza rasmi tarehe 03/04/2018. Masomo yatakayo fundishwa ni; Uandishi wa Habari na Utangazaji wa Redio na Televisheni, Uhusiano wa Kimataifa na pia kuna kozi za muda mfupi ambazo ni Basic Computer Applications, Graphic Design, na Audio&Video Production. Chuo kina usajili wa kudumu kutoka NACTE, na tunapatikana Philips Barabara kuu ya Arusha- Moshi. Nyote mnakaribishwa!. www.eatiarushatz.com