UZINDUZI WA MISS ARUSHA 2018 WATIKISA JIJI LA ARUSHA
U zinduzi Wa Miss Arusha 2018 umefanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa AICC tarehe 05 June 2018, na kuhudhuriwa na mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro pamoja na waandishi wa Habari kutoka katika vyombo mbali mbali vya mkoani hapo Pichani ni Baadhi ya warembo 20 wa Shindano la AICC Miss Arusha mwaka 2018 ( picha na Thomas Adam) Warembo wa Miss Arusha wakiwa katika Pozi kabla ya Uzinduzi Kufanyika katikati ya warembo ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro kati kati ni Mkurugenzi na Muandaji wa Miss Arusha Tilly Chizenga, kulia kwake ni Msemaji wa shindano hilo Fatuma Nondo na kushoto kwake ni Msemaji wa Ukumbi wa AICC Linda Nyanda. Pichani ni Mmoja wa Washiriki wa shindano hilo Teddy Mkenda kwa upande wake Mk...