UZINDUZI WA MISS ARUSHA 2018 WATIKISA JIJI LA ARUSHA
Pichani ni Baadhi ya warembo 20 wa Shindano la AICC Miss Arusha mwaka 2018
(picha na Thomas Adam)
Warembo wa Miss Arusha wakiwa katika Pozi kabla ya Uzinduzi Kufanyika
katikati ya warembo ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro
kati kati ni Mkurugenzi na Muandaji wa Miss Arusha Tilly Chizenga, kulia kwake
ni Msemaji wa shindano hilo Fatuma Nondo na kushoto kwake ni Msemaji wa Ukumbi wa AICC Linda Nyanda.
Pichani ni Mmoja wa Washiriki wa shindano hilo Teddy Mkenda
kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Arusha Mh Daqarro amesisitiza wasichana wengi kujitokeza katika mashindano ya ulimbwende na Serikali ya Awamu ya Tano kupitia Sera ya uchumi na viwanda inayoongozwa na Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli inasapoti Mashindano hayo na iko tayari kushirikiana na waandaji ili kutoa fursa nyingi za ajira katika tasinia hiyo.
Pichani ni Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro
Comments
Post a Comment