Posts

Showing posts from June 18, 2018

MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA SAM WA UKWELI AFARIKI DUNIA

Image
           MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA SAM WA UKWELI AFARIKI DUNIA   Msanii wa bongo flavor Salum Mohamed   aliyetamba kwa   jina la Sam wa ukweli amefariki dunia Usiku wa kuamkia 7,2018 Sam   alitamba   sana na kazi zake kama vile sina raha , alioutoa Mwaka 2010, usiniache loully , hata kwetu wapo Baada ya ukimya wa muda mrefu alibuka tena   mwishoni mwa   2017,  na kibao kingine , kwa jina la kisiki, na  mwanzoni mwa   mwaka  2018, akauachia wimbo mwingine unaoitwa ni wewe Ingawa ni mtu wa Singida Sam wa ukweli amekulia kiwangwa jirani na mji wa Dar es salaam  ambako amelelewa na Bibi yake mzaa Mama , kwa mujibu wa Meneja wake Abdulmalik Mohamed, mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hosipitali   ya Mwananyamala , jijini Dar es salaam , na mipango ya mazishi inaendelea katika eneo la Tandale, lakini maziko yatafanyika alhamisi hii kiwangwa mko...