Mmomonyoko wa maadili kwa wanavyuo



Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji  The Arusha East African Training Institute wakiwa kwenye semina yenye kichwa  cha somo linalosema  mmomonyoko wa maadili unavyoweza kuathiri  taaluma ya mwanachuo au wanachuo”, inayotolewa na Mch wa kimataifa Gift Urio maarufu kwa jina la AK47.
                                                     Wanafunzi wa chuo wakiwa wanasikiliza semena
                                                     iliyokuwa ikiendeshwa katika eneo la chuo philips
                                                    jijini Arusha na Mch Ak 47
                                               


               pichani ni Mch Ak 47 akiwa anatoa semina kwa wanafunzi wa chuo 
cha Arusha East African
 Training Institute ijumaa ya tarehe 22/06/2018





Comments

Popular posts from this blog

PROFILE OF THE ARUSHA EAST AFRICAN TRAINING INSTITUTE

TAEATI