habari za kitaifa na ,TUMAINI SWAI
Accessibility links
BBC Swahili Swahili
Habari kuu
Mbunge auwawa kwa kupigwa risasi Uganda
Mbunge wa Manispaa ya Arua nchini Uganda (MP), Ibrahim Abiriga ameuawa kwa kupigwa risasi karibu na nyumba yake huko Mattuga Wilaya ya Wakiso.
- 9 Juni 2018
Mawasiliano ya pembeni na watu wa jinsia tofauti mtandaoni yanafaa?
Katika ulimwengu wa dijitali ni rahisi zaidi kumpa ishara mtu kuwa unaweza kupatikana kimapenzi.
- 7 Juni 2018
Akutana na mwanaye miaka 30 baada ya kuitoa mimba
Melissa Ohden alikuwa na miaka 14 alipojua kwa mara ya kwanza kuwa mamake alijaribu kumuavya.
- 6 Juni 2018
'Sergio Ramos ana bahati hatutakutana uwanjani'
Mshambuliaji wa klabu ya Uingereza ya Wycombe Wanderers Adebayo Akinfenwa ametoa onyo kali kwa nahodha wa Real Madrid Sergio Ramos.
- 8 Juni 2018
Jean Pierre Bemba aondolewa hatia ICC
- 8 Juni 2018
Kenya yawakamata wavuvi 109 wa Tanzania
- 8 Juni 2018
Ujenzi wa reli ya kisasa unavyoendelea Tanzania
- 8 Juni 2018
Trump atoa maneno makali kuelekea mkutano wa G7
- 8 Juni 2018
Nkurunziza asema ataachia madaraka 2020 Burundi
- 7 Juni 2018
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 08.06.2018
- 8 Juni 2018
Kombe la dunia na vibweka tarajiwa
- 6 Juni 2018
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 07.06.2018
- 7 Juni 2018
Sergio Ramos afunguka kuhusu kuumia kwa Mo Salah
- 5 Juni 2018
Sikiza/ Tazama
Nilibarikiwa na watoto watatu wa 'mwujiza'
- 8 Juni 2018
Wa'Ogiek bado walalamika kuhusu ardhi Kenya
- 29 Mei 2018
Haba na Haba Redio
Global Newsbeat
Picha
Watanzania wanawakumbuka Maria na Consolata
Watanzania wanawakumbuka pacha hao waliofariki kwa matumaini, uvumilivu waliokuwa nao, na kwamba hawakuwahi kukata tamaa katika maisha yao ya miaka 21.
Kwa Picha: Real Madrid walivyosherehekea kushinda Champions League
Maelfu ya mashabiki wa miamba wa Uhispania Real Madrid walijitokeza katika barabara za jiji kuu la Uhispania Madrid kuwapokea wachezaji wa klabu hiyo waliporejea kutoka Kiev Jumapili.
Habari za sasa hivi
Vipindi vya Redio
Dira TV
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Ijumaa 08.06.2018 na Salim Kikeke & Zawadi Machibya
Comments
Post a Comment